\p \v=27 \v~=Pia akatengeneza vitako kumi vya shaba vinavyoweza kuhamishika, kila kimoja kilikuwa na urefu wa dhiraa nne, upana dhiraa nne na kimo chake dhiraa tatu\f + \fr 7:27 \ft Dhiraa 3 ni sawa na mita 1.35.\f* \¬v