\v=31 \v~=Ndani ya kitako kulikuwa na nafasi ya wazi iliyokuwa na umbile la mviringo lenye kina cha dhiraa moja.\f + \fr 7:31 \ft Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45.\f* Nafasi hii ya wazi ilikuwa ya mviringo, pamoja na kitako chake ilikuwa dhiraa moja na nusu.\f + \fr 7:31 \ft Dhiraa moja na nusu ni sawa na sentimita 67.5.\f* Kuzunguka huo mdomo wake kulitiwa nakshi. Papi za vitako zilikuwa mraba na si za mviringo. \¬v