\p \v=38 \v~=Kisha akatengeneza masinia kumi ya shaba, kila moja likiwa na ujazo wa bathi arobaini,\f + \fr 7:38 \ft Bathi 40 ni sawa na lita 800.\f* yakiwa na kipenyo cha dhiraa nne\f + \fr 7:38 \ft Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8.\f* kila sinia moja kwa kila kimoja ya vile vitako kumi. \¬v