\p \v=51 \v~=Hivyo Mfalme Solomoni alipomaliza kazi ya Hekalu la \nd Bwana\nd*, akaviingiza ndani vile vitu ambavyo Daudi baba yake alikuwa ameviweka wakfu: yaani fedha, dhahabu na samani; kisha akaviweka katika hazina za Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p \¬c