\p \v=6 \v~=Akajenga ukumbi wa nguzo, ambao urefu wake ulikuwa dhiraa hamsini\f + \fr 7:6 \ft Dhiraa 50 ni sawa na mita 22.5.\f* na upana wake dhiraa thelathini. Mbele ya jengo hilo kulikuwepo baraza. Mbele ya baraza kulikuwepo na nguzo na paa lililoningʼinia. \¬v \¬p