\p \v=10 \v~=Makuhani walipoondoka katika Mahali Patakatifu, wingu likajaza Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v