\v=53 \v~=Kwa maana uliwachagua wao kutoka mataifa yote ya ulimwengu kuwa urithi wako mwenyewe, kama ulivyotangaza kupitia mtumishi wako Mose wakati wewe, Ee \nd Bwana\nd* Mwenyezi, ulipowatoa baba zetu kutoka Misri.” \¬v \¬pm