\p \v=54 \v~=Wakati Solomoni alipomaliza dua hizi zote na maombi kwa \nd Bwana\nd*, akainuka kutoka mbele ya madhabahu ya \nd Bwana\nd*, mahali alipokuwa amepiga magoti, mikono yake ikawa imekunjuliwa kuelekea juu mbinguni. \¬v