\v=63 \v~=Solomoni akatoa dhabihu sadaka za amani kwa \nd Bwana\nd*: ngʼombe 22,000, pamoja na kondoo na mbuzi 120,000. Hivyo ndivyo mfalme na Waisraeli wote walivyoweka wakfu Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p