\p \v=65 \v~=Hivyo Solomoni akaiadhimisha sikukuu kwa wakati ule, na Israeli wote pamoja naye. Walikuwa kusanyiko kubwa sana, watu kutoka Lebo-Hamathi hadi Kijito cha Misri. Wakaiadhimisha mbele za \nd Bwana\nd* Mungu wetu kwa siku saba na siku saba zaidi, yaani, jumla siku kumi na nne. \¬v