\v=66 \v~=Siku iliyofuata, aliwaruhusu watu waondoke. Wakambariki mfalme, kisha wakaenda nyumbani, wakiwa na mashangilio na furaha rohoni kwa ajili ya mambo yote mema ambayo \nd Bwana\nd* ametenda kwa ajili ya Daudi mtumishi wake na watu wake Israeli. \¬v \¬p \¬c