\v=9 \v~=Ndani ya Sanduku hapakuwepo kitu kingine chochote isipokuwa zile mbao mbili za mawe ambazo Mose alikuwa ameziweka ndani yake huko Horebu, mahali ambapo \nd Bwana\nd* alifanya Agano na Waisraeli baada ya kutoka Misri. \¬v \¬p