\v=2 \v~=\nd Bwana\nd* akamtokea mara ya pili, kama alivyokuwa amemtokea huko Gibeoni. \¬v