\p \v=25 \v~=Solomoni akatoa dhabihu za kuteketezwa na sadaka za amani mara tatu kwa mwaka, juu ya madhabahu aliyokuwa amejengea kwa ajili ya \nd Bwana\nd*, akifukiza uvumba mbele za \nd Bwana\nd* pamoja na dhabihu hizo, hivyo kutimiza kanuni za hekalu. \¬v \¬p