\p \v=26 \v~=Mfalme Solomoni pia akatengeneza pia meli huko Esion-Geberi, ambayo iko karibu na Elathi katika Edomu, kwenye ukingo wa Bahari ya Shamu.\f + \fr 9:26 \ft Yaani Bahari Nyekundu au Bahari ya Mafunjo.\f* \¬v