\v=28 \v~=Wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri na kurudi na talanta 420\f + \fr 9:28 \ft Talanta 420 za dhahabu ni sawa na tani 14.\f* za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Solomoni. \¬v \¬p \¬c