\v=8 \v~=Ingawa hekalu hili linavutia sasa, wote watakaolipita watashangaa na kudhihaki wakisema, ‘Kwa nini \nd Bwana\nd* amefanya kitu kama hiki katika nchi hii na kwa Hekalu hili?’ \¬v