\v=10 \v~=Fahamuni basi kwamba, hakuna neno ambalo \nd Bwana\nd* amesema dhidi ya nyumba ya Ahabu ambalo halitatimia. \nd Bwana\nd* amefanya lile aliloahidi kupitia mtumishi wake Eliya.” \¬v