\v=16 \v~=Yehu akasema, “Twende pamoja ukaone wivu wangu kwa ajili ya \nd Bwana\nd*.” Hivyo wakasafiri pamoja kwenye gari lake. \¬v \¬p