\p \v=17 \v~=Yehu alipofika Samaria, akawaua wale wote waliokuwa wamesalia wa jamaa ya Ahabu, akawaangamiza, sawasawa na neno la \nd Bwana\nd* alilosema kupitia Eliya. \¬v \¬p