\v=31 \v~=Lakini Yehu hakuwa mwangalifu kushika sheria za \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, kwa moyo wake wote. Hakuziacha dhambi za Yeroboamu, ambazo alikuwa amesababisha Israeli kuzitenda. \¬v \¬p