\p \v=32 \v~=Katika siku hizo, \nd Bwana\nd* akaanza kupunguza ukubwa wa Israeli. Hazaeli akawashinda Waisraeli sehemu zote za nchi yao \¬v