\v=10 \v~=Ndipo akawapa wale wakuu mikuki na ngao zilizokuwa za Mfalme Daudi, zilizokuwa ndani ya Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v