\p \v=13 \v~=Athalia aliposikia kelele iliyofanywa na walinzi pamoja na watu, akawaendea watu pale penye Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v