\p \v=17 \v~=Kisha Yehoyada akafanya agano kati ya \nd Bwana\nd* na mfalme na watu kwamba watakuwa watu wa \nd Bwana\nd*. Akafanya pia agano kati ya mfalme na watu. \¬v