\v=3 \v~=Alibaki amefichwa pamoja na yaya wake katika Hekalu la \nd Bwana\nd* kwa muda wa miaka sita wakati Athalia alikuwa akitawala nchi. \¬v \¬p