\p \v=4 \v~=Katika mwaka wa saba, Yehoyada akatumania wakuu wa vikundi vya mamia, na Wakari,\f + \fr 11:4 \ft Yaani Wakerethi (ona \+xt 1Sam 30:14; Eze 25:16; Sef 2:5, 6\+xt*).\f* na walinzi, nao wakaletwa kwake katika Hekalu la \nd Bwana\nd*. Alifanya agano nao na kuwaapisha katika Hekalu la \nd Bwana\nd*. Ndipo akawaonyesha mwana wa mfalme. \¬v