\v=12 \v~=waashi na wakata mawe. Walinunua mbao na mawe ya kuchongwa kwa ajili ya ukarabati wa Hekalu la \nd Bwana\nd*, na kulipia gharama nyingine zote za kulitengeneza. \¬v \¬p