\v=16 \v~=Fedha zilizopatikana kutokana na sadaka za hatia na sadaka za dhambi hazikuletwa katika Hekalu la \nd Bwana\nd*; zilikuwa mali ya makuhani. \¬v \¬p