\v=11 \v~=Alifanya maovu machoni pa \nd Bwana\nd*, na hakuacha dhambi yoyote kati ya zile za Yeroboamu mwana wa Nebati ambazo alikuwa amesababisha Israeli kuzitenda, bali aliendelea kuzitenda. \¬v \¬p