\p \v=17 \v~=Elisha akasema, “Fungua dirisha la mashariki,” naye akalifungua. Elisha akasema, “Piga mshale!” Naye akapiga mshale. Elisha akasema, “Mshale wa ushindi wa \nd Bwana\nd*, mshale wa ushindi juu ya Aramu! Utawaangamiza Waaramu kabisa huko Afeki.” \¬v