\v=2 \v~=Akafanya maovu machoni pa \nd Bwana\nd* kwa kufuata dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alikuwa amesababisha Israeli kuzitenda, na wala hakuziacha. \¬v