\v=3 \v~=Kwa hiyo hasira ya \nd Bwana\nd* ikawaka dhidi ya Israeli na kwa muda mrefu akawaweka chini ya utawala wa Hazaeli mfalme wa Aramu, na Ben-Hadadi mwanawe. \¬v \¬p