\p \v=4 \v~=Ndipo Yehoahazi akamsihi \nd Bwana\nd* rehema, naye \nd Bwana\nd* akamsikiliza, kwa maana aliona jinsi mfalme wa Aramu alivyokuwa akiwatesa Israeli vikali. \¬v