\v=9 \v~=Yehoahazi akalala pamoja na baba zake, akazikwa huko Samaria. Naye Yehoashi\f + \fr 13:9 \ft Yehoashi ni namna nyingine ya kutaja jina la Yoashi.\f* mwanawe akawa mfalme baada yake. \¬v \¬p