\v=14 \v~=Akachukua dhahabu yote na fedha na vyombo vyote vilivyopatikana ndani ya Hekalu la \nd Bwana\nd* na katika hazina zote za jumba la mfalme. Akachukua pia mateka na akarudi Samaria. \¬v \¬p