\p \v=21 \v~=Kisha watu wote wa Yuda wakamchukua Azaria\f + \fr 14:21 \ft Azaria pia aliitwa Uzia.\f* aliyekuwa na umri wa miaka kumi na sita, na kumfanya mfalme mahali pa baba yake Amazia. \¬v