\v=27 \v~=Kwa kuwa \nd Bwana\nd* alikuwa hajasema kuwa atafuta jina la Israeli chini ya mbingu, akawaokoa kwa mkono wa Yeroboamu mwana wa Yehoashi. \¬v \¬p