\v=3 \v~=Akatenda yaliyo mema machoni pa \nd Bwana\nd*, lakini sio kama Daudi baba yake alivyokuwa amefanya. Katika kila kitu alifuata mfano wa Yoashi baba yake. \¬v \¬p