\v=18 \v~=Akatenda maovu machoni pa \nd Bwana\nd*. Katika wakati wa utawala wake wote, hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati ambazo alisababisha Israeli kuzitenda. \¬v \¬p