\p \v=19 \v~=Kisha Pulu mfalme wa Ashuru akaishambulia Israeli. Menahemu mfalme wa Israeli akampa talanta elfu moja za fedha\f + \fr 15:19 \ft Talanta 1,000 za fedha ni sawa na tani 34.\f* ili amsaidie na kumwezesha katika utawala wake. \¬v