\v=20 \v~=Menahemu akatoza fedha hizi kwa nguvu kutoka kwa Israeli. Kila mtu tajiri alilazimika kuchanga shekeli hamsini za fedha\f + \fr 15:20 \ft Shekeli 50 za fedha ni sawa na gramu 600.\f* ambazo alipewa mfalme wa Ashuru. Basi mfalme wa Ashuru akajiondoa na hakuendelea kuikalia nchi. \¬v \¬p