\v=24 \v~=Pekahia akafanya uovu machoni pa \nd Bwana\nd*. Hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alisababisha Israeli kuzitenda. \¬v