\v=28 \v~=Akafanya maovu machoni pa \nd Bwana\nd*. Hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alisababisha Israeli kuzitenda. \¬v \¬p