\v=9 \v~=Akafanya maovu machoni pa \nd Bwana\nd*, kama baba zake walivyofanya. Hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati ambazo alisababisha Israeli kuzitenda. \¬v \¬p