\v=3 \v~=Akaenenda katika njia za wafalme wa Israeli, na hata akamtoa mwanawe kafara katika moto, akifuata njia za machukizo za mataifa ambayo \nd Bwana\nd* alikuwa ameyafukuza mbele ya Waisraeli. \¬v