\v=8 \v~=Naye Ahazi akachukua fedha na dhahabu zilizopatikana ndani ya Hekalu la \nd Bwana\nd* na katika hazina ya jumba la mfalme, na kuzituma kama zawadi kwa mfalme wa Ashuru. \¬v