\v=11 \v~=Wakafukiza uvumba kila mahali palipoinuka, kama yalivyofanya yale mataifa ambayo \nd Bwana\nd* alikuwa ameyafukuza mbele yao. Wakafanya mambo maovu ambayo yalimghadhibisha \nd Bwana\nd*. \¬v