\p \v=16 \v~=Wakayaacha maagizo yote ya \nd Bwana\nd* Mungu wao na kujitengenezea sanamu mbili, walizozisubu katika sura ya ndama na nguzo ya Ashera. Wakasujudia mianga yote ya angani, na wakamtumikia Baali. \¬v