\v=17 \v~=Wakawatoa kafara wana wao na mabinti zao katika moto. Wakafanya uaguzi na uchawi, nao wakajiuza wenyewe katika kutenda uovu machoni pa \nd Bwana\nd*, wakamghadhibisha. \¬v \¬p